MPANGO WETU

Kama tulivyoelezea katika uwasilishaji wetu, tunatarajia kurekebisha au kujenga katika miaka 10 ijayo shule nyingi katika wilaya za Kyela, Busokelo na Rungwe mkoani Mbeya, Tanzania. Unaweza kufuata maendeleo katika jedwali na ramani hapa chini.

MWAKA

MAJENGO YANAYOKAMILISHWA

CR TO HMO Other
2016 176 16 14 1
2017 117 21 14 3
2018 101 15 8 6
2019 33 5 4 0
2020 2 1 1 0
2021 4 0 0 0
2022 0 0 0 0
2023 0 0 0 0
2024 0 0 0 0
2025 0 0 0 0
JUMLA 433 58 41 10

MWAKA

MAJENGO YANAYOKARABATIWA

CR TO HMO Other
2016 36 7 6 7
2017 54 13 8 2
2018 113 18 20 4
2019 161 29 15 7
2020 165 20 16 4
2021 36 5 5 5
2022 0 0 0 0
2023 0 0 0 0
2024 0 0 0 0
2025 0 0 0 0
JUMLA 565 92 70 29

MWAKA

MAJENGO MAPYA KUTOKA MWANZO

CR TO HMO Other
2016 0 0 0 0
2017 30 0 0 0
2018 51 4 0 0
2019 117 14 0 0
2020 109 11 0 0
2021 91 9 0 0
2022 76 6 0 0
2023 52 10 0 0
2024 14 2 0 0
2025 4 1 0 0
JUMLA 544 57 0 0
*CR - Vyumba vya madarasa* TO - Ofisi za walimu *HMO - Ofisi za walimu wakuu*Other - Majengo mengine

Maeneo ya

“Cocoa for Schools” katika ramani